Jinsi ya Kujiandaa na Usaili wa Kazi (Job Interview) Hatua Kwa Hatua (Written, Oral & Practical)

Hii Ni Maalum Kwa Ajili Yako wewe Unayejiandaa na Usaili wa Kazi za UTUMISHI na Katika Makampuni Binafsi [Written, Oral na Practical].

Hapa Ndani Utajifunza Yafuatayo: 

1. Jinsi ya Kujiandaa na Usaili wa Kuandika [Written Interview] 

2. Jinsi ya Kujiandaa na Usaili wa Vitendo [Practical Interview] 

3. Jinsi ya Kujiandaa na Tips za Muhimu Usaili wa Mahojiano [Oral Interview] 

4. Jinsi ya Kujenga Confidence Wakati wa Usaili wa Kazi 

5. Jinsi ya Kuondoa Woga, Wasiwasi na Kutokujiamini Kwenye Interview 

6. Maswali Yanayoulizwa Kwenye Interviews Mbalimbali za Kazi 

 7. Jinsi ya Kujibu na Kutackle Maswali Mbalimbali ya Interviews za Kazi.

Anzia Hapa Kuifatilia Playlist Hii Mpaka Mwisho: 




















Kama Wewe Ni Graduate Civil Engineering na Field Zinazohusiana na Hii (Diploma au Bachelor Utapenda Kupata Support Katika Maandalizi yako ya Usaili mpaka Kupata Matokeo!

Mpaka Sasa Tumeshawasaidia Zaidi ya Watu 10 Kufaulu Interviews Zao za Kazi na Kupata Kazi Kwenye Taasisi Mbalimbali Jiunge na Community yetu ya [Interview Preparation] Kwa Mwaka Mzima Ambayo Utashikwa Mkono Kuhakikisha Mpaka Unapata Matokeo

Kwa Gharama ya Ths. 30,000 TU Mwaka Mzima! Ndani ya Community Utapata Yafuatayo:

1. Uchambuzi wa Interview za Kazi Zote Ulizo Apply na Jinsi ya Kujiandaa Kila Wiki.

2. Hatua Kwa Hatua za Kujiandaa na Usaili wa Kuandika [Written Interview] ili Upate Matokeo

3. Hatua Kwa Hatua za Kujiandaa na Usaili wa Vitendo [Practical Interview]

4. Hatua Kwa Hatua za Kujiandaa na Tips za Muhimu Usaili wa Mahojiano [Oral Interview]

5. Website Mbalimbali na Source Nyingine Kwa Ajili ya Maswali ya Interview Ikiwemo Online Interview

6. 1 on 1 Coaching and Live Session

7. Community Discussion and Support ya Pamoja

8. Template za Kutumia Wakati Unajisomea na Kujiandaa Binafsi

9. Msaada wa Karibu Wakati Wowote Ule Unapokuwa na Swali

Kama Unahitaji Support Hii Lipia Sasa 51182404 (Lipa M-Pesa) Ikisha Nitumie Ujumbe wa Uthibitisho wa Malipo Kwa WhatsApp Namba 0746-452-103 ili Nikuunge Kwenye Community Ndani ya Masaa 12!

Previous Post Next Post

Contact Form